
Mwanamke mmoja kutoka Kenya amejiweka katika msururu wa picha za likizo za watu wengine katika mtandao wake wa facebook

Baada ya kushindwa kuwa na uwezo wa kusafiri kwenda barani Asia,Sevelyn
Gat alijiweka katika picha karibu na ndege,katika ukuta mkubwa wa Uchina
na hekalu moja.

Picha hizo zilizowekwa kwa njia ya nzuri ili zisiweze kubainika kuwa za
uongo zilikuwa mbaya zaidi na hivyobasi kuweza kupendwa na mara nyingi
sana

Mfanyibiashara wa Nairobi sam Gachuru amejitokeza na kumsaidia kutafuta fedha ili kwenda likizo.

Kulingana na Sich Chirpse Sam aliwasumbua rafikize kuchangisha fedha za mahala pa kulala,nauli bima na pesa za kutumia.

Seve pia amepata kibali chake cha kuzaliwa anemtuma ombi la pasipoti na amepata kufunzwa kama meneja wa mradi.
Maoni
Chapisha Maoni