CHELSEA KUWAVAA UNITED BILA YA COSTA
Chelsea wanatumai kwamba mshambuliaji Loic Remy atacheza katika mechi dhidi ya manchester United baada ya kukosa mechi dhidi ya QPR na jeraha la mguu.
![]() |
| Mshambuliaji hatari wa timu ya soka ya chelsea didier Drogbaaaa akishangilia moja ya mabao yake |
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa hatocheza lakini anaweza kurudi dhidi ya Arsenal wiki ijayo.
Mkufunzi wa kilabu ya manchester United Luois Van Gaal atawakosa wachezaji wake wanne akiwemo Michael carrick,Daley Blind,Phil Jones na Marcos Rojo.
Jonny Evans na Chris Smalling wanahudumia marufuku huku Paddy McNair na Tyler Blackett ni wachezaji wa pekee wa safu ya ulinzi wa kiungo cha kati waliosalia.

Maoni
Chapisha Maoni