ROGERS NJIA PANDA LIVERPOOL
Kocha wa klabu ya Liverpool Brendan
Rodgers yupo kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kutwaa taji lolote
katika misimu mitatu ya mwanzo ya kuwanoa vijogoo hao wa Anfield.
Hii
ni rekodi ambayo haijawahi tokea kwa kocha yeyote tangu mwaka 1950
ndani ya kikosi hicho. ,Je ni wachezaji wasiokidhi viwango?,au ni mbinu
za kocha zilizogota mwisho?hayo ni baadhi ya maswali ambayo bado hayana
majibu,huku Brendan Rodgers hata kama anakula basi chakula hakishuki
uzuri kwani hajui nini hatima yake kufuatia kuboronga huko. |
Maoni
Chapisha Maoni