ADE MABAO ALAANI MAUAJI SOUTH

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Toto, Emmanuel Adebayor (pichani kushoto) amelaani mashambulizi ya Xenophobic yanayoendela Afrika Kusini dhidi ya raia wa kigeni. 
Mpachika mabao huyo wa zamani wa Arsenal na Real Madrid ametumia ukurasa wake wa Instagram kuzungumzia mashambulizi hayo yaliyoibuka hivi karibuni kwamba yamelichafu bara la Afrika. 
"Siwazi kuamini aina hiyo ya uzalendo ambayo inaumiza mataifa mengine. Nini kimetokea Afrika Kusini inauiza na inatia machungu,"ameandika mchezaji huyo wa Tottenham Hotspur ya England. 
"Mungu ametuweka pamoja kwa sababu, hakuna harakati za binadamu mwingine ni nzuri, wote kwa pamoja, hukumu na mashambulizi kama haya ni makosa. Kwa pamoja na tunatakiwa kusema kwa Xenophobia," ameongeza 'Ade Mabao'.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHELSEA KUWAVAA UNITED BILA YA COSTA

ROGERS NJIA PANDA LIVERPOOL