UJUZI HAUZEEKI, MAGWIJI 'WAKINUKISHA' ST ETIENNE, ZIDANE AMTESA RONALDO NA WASHKAJI WAKE

Brazilian legend Ronaldo takes a touch as he looks to set up an attack in the Match Against PovertyGwiji wa Brazil, Ronaldo Lima akimiliki mpira katika mchezo maalum wa 12 wa kupiga vita umasikini Uwanja wa Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne jana. Mechi hiyo ilihusisha marafiki wa Ronaldo dhidi ya marafiki wa Zinadine Zidane na nyota wengine kadhaa kama Clarence Seedorf, Fabian Barthez, Gianluca Zambrotta, Jay-Jay Okocha, David Trezeguet na Vladimir Smicer walishiriki mchezo huo. Akina Zidane walishinda 9-7.

 Former Nigerian international Jay-Jay Okocha curls an effort into the net during the Match Against PovertyKiungo wa zamani wa kimataifa wa Nigeria, Jay-Jay Okocha alicheza pia

 Former Madrid and France ace Zidane looks to take on Bjorn Kvarne during the Match Against PovertyNyota wa zamani wa Ufaransa, Zidane akifanya vitu vyake katika mchezo huo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHELSEA KUWAVAA UNITED BILA YA COSTA

ROGERS NJIA PANDA LIVERPOOL