DEMU WA MAN CITY AMTWIKA NDOO BEKI WA ARSENAL

The England international apologised for the incident after the game as City fell to a 1-0 reverseKiungo wa kimataifa wa England, Jill Scott akimpiga kichwa beki wa Arsenal, Jade Bailey katika mchezo baina ya timu hizo Jumapili ya jana, kabla ya kutolewa kwa kadi nyekundu ya moja kwa moja. City ilifungwa 1-0 na mchezaji huyo aliomba msamaha baadaye leo kwa tukio hilo

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHELSEA KUWAVAA UNITED BILA YA COSTA

ROGERS NJIA PANDA LIVERPOOL