VAN PERSIE ACHEMKA TIMU YA WATOTO
Mfungaji wa bao la kusawazisha la U21 ya Manchester United, Sean Goss (katikati kushoto) katika
sare ya 1-1 na U21 ya Leicester City jana Uwanja wa King Power
akipongezwa na wenzake, James Wilson (kushoto) na Robin van Persie
(katikati kulia). U21 ya United ilipewa tafu na kaka zao wa kikosi cha
kwanza, Robin van Persie, Adnan Januzaj, Jonny Evans, Tyler
Blackett, James Wilson na Rafael. Bao la Leicester lilifungwa na
mshambuliaji, Harry Panayiotou yote yakipatikana kipindi cha kwanza.
Maoni
Chapisha Maoni