CHELSEA YAWATANDIKA MAN UTD
Mkufunzi wa kilabu ya Chelsea Jose
Mourinho amesema kuwa wachezaji muhimu wa Manchester United walizuia
katika mechi iliochezwa kulingana na mahitaji yake.
Kocha huyo
sasa anasema kuwa timu yake inaelekea kushinda ligi baada ya kuichapa
Manchester United 1-0 katika uwanja wa darajani na kusonga pointi kumi
mbele ya Arsenal ambao wako nafasi ya pili.United ilitawala mchezo na ilikuwa na nafasi nyingi ikilinganishwa na viongozi hao wa ligi.
Mourinho:Tuliandaa mechi hiyo ichezeke ilivyokuwa.ni mechi tuliotarajia na ilichezwa kulingana na mpango wetu.
Chelsea watatawazwa kuwa mabingwa iwapo watashinda dhidi ya Chelsea ama Leicester katika mechi mbili zijazo,baada ya kuishinda Manchester United ambayo iko nafasi ya tatu kupitia bao la Eden Hazard.
![]() |
| OSCAR AKIWA KAZINI |

Maoni
Chapisha Maoni